Hawza/ Ayatollah Khatami alisema: urithi uliobaki kutoka kwa shahidi Sayyid Hassan Nasrallah kwenye ulimwengu wa Kiislamu ni njia ya muqawama, na utajiri wa kiroho aliouacha ni ule utakaouendeleza…
Hawza/ Khatibu wa Swala ya Ijumaa wa Tehran amesema: Ikiwa usitishaji vita utavunjwa, Tel Aviv itasagwasagwa tena, kwa sababu Iran ni kielelezo cha heshima, nguvu, uhuru na kauli ya "Uwe mbali…