Kiongozi wa juu wa kidini na mfasiri maarufu wa Qur’ani Tukufu, huku akisisitiza kuwa kuzama katika bahari kuu ya Qur’ani na Ahlul-Bayt ni risala ya Hawza, alisema: Marehemu Ayatollah al-Udhma…
Miongoni mwa waliopata kunufaika moja kwa moja na masomo ya Haaj Sheikh, huko Qum au Arak, ni watu kama "Mirza Hashem Amoli, Muhammad Ali Araki, Sayyid Ahmad Husayni Zanjani, Sayyid Muhammad…