Hawza/ kutokana na mnasaba wa kuadhimisha kumbukumbu na historia ya mashahidi wa shule ya “Shajarat Tayyibah Minab”, mashindano ya hotuba yaliyopewa anuani ya “Wito wa Amani na Ubinadamu” yalifanyika…
Hawza/ Profesa “Andrea Bisogero”, mwalimu wa Chuo Kikuu cha Kipapa cha Antonianum nchini Italia, katika kikao cha kielimu chenye anuani isemayo: “Daraja kati ya walimwengu, kujenga amani”, alitahadhar…