Hawza/ Wakati juhudi na hatua za mikondo mbalimbali ya kisiasa nchini Iraq za kukamilisha uundaji wa serikali mpya zinaendelea, vyanzo vyenye taarifa vimeripoti kuwepo kwa hujuma za Marekani.
Hawza/ Ammar Hakim, katika khutba ya Swala ya Idi mjini Baghdad, alitangaza kuiunga mkono serikali ya sasa ya Iraq inayoongozwa na Ali al-Zaidi.