Hawza/ Ali Taysir amesisitiza: Uhalifu wa kuivunjia heshima miili ya mashahidi wa majeshi ya nchi na kuwavua nguo ni uhalifu kamili wa kivita, na tutawafikisha wahalifu hao mbele ya sheria katika…