Hawza/ Ahlul-Sunna wametaja mara nyingi katika riwaya zao ukweli wa "fikra ya Mahdawiya". Ingawa katika baadhi ya maeneo inatofautiana na imani ya Kishia, bado kuna mambo mengi ya pamoja.