Hawza/ Jumuiya ya Afrika Mashariki iliyopo katika mji mtakatifu wa Qum, nchini Iran, imefanya hafla maalumu ya kuadhimisha kumbukumbu ya kuzaliwa Mtume Muhammad (s.a.w.w.), ikiwa ni tukio lililowakuta…
Hawza/ Katika mwendelezo wa shughuli za maadhimisho ya Arubaini ya Imam Hussein (as), Jumuiya ya Aimmat Huda't imefanya Kongamano la Wahubiri wa Afrika mjini Karbala, likiwakutanisha wahubiri…