-
DuniaSerikali ya Ufaransa Yahofia Kuibuka Vuguvugu la Maandamano ya Wananchi; Zaidi ya Askari Polisi 70,000 Watumwa Kudhibiti Maandamano ya Oktoba 24
Hawza/ Baada ya maandamano makubwa ya wananchi yaliyofanyika nchini Ufaransa tarehe 17 Oktoba, wapinzani wa serikali wametoa wito wa kufanyika kwa awamu ya pili ya mikusanyiko ya maandamano tarehe…
-
DuniaUjerumani Yakaribia Kukumbwa na Wimbi Jipya la Maandamano ya Wanafunzi/ Wito Watolewa wa Maandamano ya Kitaifa Oktoba 31
Hawza/ Vyama vya wanafunzi na Chama cha Mrengo wa Kushoto nchini Ujerumani vimeunga mkono maandamano yaliyopangwa kufanyika tarehe 31 Oktoba. Maandamano hayo yanalenga kudai ongezeko la bajeti…
-
DuniaKongamano la Kumuenzi Shahidi Ayatullah Sayyid Mustafa Khomeini na Kuchunguza Mwenendo Wake wa Kielimu na Kivitendo Lafanyika Najaf Ashraf
Hawza/ Kongamano la kumuenzi na kuchunguza mwenendo wa kielimu na kivitendo wa Shahidi Ayatullah Sayyid Mustafa Khomeini (Quddisa Sirruh), lilifanyika Alhamisi, tarehe 30 Mehr 1405 Hijria ya…
-
Imam wa Ijumaa wa Baghdad:
DuniaSerikali ya Iraq Ipitie Upya Sera Zake za Kiuchumi na Iepuke Kujiingiza Vitani Upande wa Marekani
Hawza/ Ayatullah Sayyid Yasin al-Musawi ameitaka serikali ya Iraq kupitia upya sera zake za kisiasa na kiuchumi, huku akionya kuhusu madhara yanayoweza kutokana na kuiunga mkono Marekani katika…
-
Kiongozi wa Kambi ya Badr Bungeni Iraq:
DuniaKufungwa Mipaka ni ‘Vita vya Kiuchumi’ Dhidi ya Wananchi
Hawza/ Mahdi Amrali, mwenyekiti wa Kambi ya Badr katika Bunge la Iraq, amekosoa vikali uamuzi wa serikali wa kufunga mpaka wa Al-Shaib (Chadhaba) huku akieleza kuwa hatua hiyo inaonesha mkanganyiko…
-
DuniaImam wa Ijumaa wa Najaf Ashraf/ Fungueni Njia ya Al-Shaib
Hawza/ Hujjatul-Islam wal-Muslimin Sayyid Sadruddin Qabanchi, katika khutuba ya Swala ya Ijumaa, amekosoa sera za kuongeza shinikizo dhidi ya Iran na ukiukaji wa mamlaka ya Iraq unaofanywa na…
-
DuniaMkuu wa Mahakama ya Iran Akutana na Kiongozi Mkuu wa Mapinduzi ya Kiislamu/ Yasisitizwa Kudai Haki na Fidia za Madhara Yaliyotokana na Uhalifu wa Marekani na Uzayuni
Mkuu wa Mahakama ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekutana na kufanya mazungumzo na Ayatullah Sayyid Mujtaba Husseini Khamenei, Kiongozi Mkuu wa Mapinduzi ya Kiislamu Iran.