Jumamosi 10 Oktoba 2026
  • Nyumbani
  • Habari zote
  • Hawza
  • Dunia
  • Dini
    • Hadithi
    • Kitabu na Makala
    • Sheria za Kiislamu
    • Maswali na Majibu
    • Maadili ya Kiislamu
  • Picha
  • Video
  • Kuhusu sisi
filterHabari za leo
  • Wanazuoni Kutoka Najaf Ashraf Watembelea Dar-ul-Muslimeen Dodoma

    DuniaWanazuoni Kutoka Najaf Ashraf Watembelea Dar-ul-Muslimeen Dodoma

    Hawza/ Taasisi ya Kiislamu ya Dar-ul-Muslimeen, iliyopo mkoani Dodoma, imepokea wageni maalumu kutoka Hawza Kashmiriyyah iliyoko katika mji mtakatifu wa Najaf al-Ashraf nchini Iraq, katika ziara…

    2026-10-10 19:15
  • Birika ya Jadi ya Iran Ina Historia Ndefu Mara Kumi Kuliko Nchi Yako!

    Ubalozi wa Iran nchini Bosnia Wajibu Kauli za Rubio:

    DuniaBirika ya Jadi ya Iran Ina Historia Ndefu Mara Kumi Kuliko Nchi Yako!

    Ubalozi wa Iran nchini Bosnia na Herzegovina wamjibu Marco Rubio kwa kejeli, huku wakirejelea historia ya maelfu ya miaka ya ustaarabu wa Iran.

    2026-10-10 16:05
  • Kukopesha na kupokea kiasi cha ziada

    Hukumu za Kisheria:

    DiniKukopesha na kupokea kiasi cha ziada

    Hawza/ Hujjatul-Islam wal-Muslimin Aliyan-Nejad, akijibu swali la kisheria kuhusu kupokea kiasi cha fedha kinachozidi mkopo wa awali kutoka kwa mdaiwa kwa nia ya kutoa shukrani, alisisitiza—…

    2026-10-10 12:30
  • Wahuni wa Israel wavamia mkusanyiko unaoiunga mkono Palestina mjini Napoli, Italia

    DuniaWahuni wa Israel wavamia mkusanyiko unaoiunga mkono Palestina mjini Napoli, Italia

    Hawza/ Katika mkusanyiko huu, baadhi ya watalii wa Israel waliwashambulia na kuwatukana wanawake waliokuwa wakiiunga mkono Ghaza. Baada ya kukataa kuondoka eneo hilo, waliwashambulia hata maafisa…

    2026-10-10 11:30
  • Taasisi ya Al-Mustafa Yatangaza Nafasi za Masomo ya Shahada ya Uzamili katika Elimu ya Qur’ani Nchini Tanzania

    DuniaTaasisi ya Al-Mustafa Yatangaza Nafasi za Masomo ya Shahada ya Uzamili katika Elimu ya Qur’ani Nchini Tanzania

    Hawza/ Taasisi ya Al-Mustafa (Al-Mustafa International University) nchini Tanzania, yenye makao yake katika jiji la Dar es Salaam, imetangaza kupokea maombi ya wanafunzi wanaotaka kujiunga na…

    2026-10-10 10:30
  • Kumdhukuru Mwenyezi Mungu ni Sifa ya Waumini wa Kweli

    Sheikh Mkuu wa Shia Tanzania:

    DuniaKumdhukuru Mwenyezi Mungu ni Sifa ya Waumini wa Kweli

    Hawza/ Maulana Sheikh Hemed Jalala Mwakindenge, Sheikh Mkuu wa Jumuiya ya Mashia Tanzania (TIC) na Imam Mkuu wa Msikiti wa Ghadir, uliopo Kigogo Post, jijini Dar es Salaam, amewahimiza waumini…

    2026-10-10 09:30
  • Kukosa Utulivu Mtu Mwenye Husda

    Hadithi ya Leo

    DiniKukosa Utulivu Mtu Mwenye Husda

    Hawza/ Imam Sadiq (a.s.) katika riwaya anaeleza kuwa husuda ni sababu ya kupoteza utulivu wa moyo.

    2026-10-10 08:26

Ufikaji wa haraka

  • Nyumbani
  • Habari zote
  • Hawza
  • Dunia
  • Dini
  • Picha
  • Video
  • Kuhusu sisi

Chagua lugha

  • Kiswahili
  • فارسی
  • English
  • العربیة
  • اردو
  • Français
  • हिन्दी
  • বাংলা
  • Türkçe
  • Русский
  • Español
  • Azərbaycan
  • Italiano
  • Hausa
  • indonesia
  • 中文

Mitandao ya kijamii

Haki zote za tovuti hii zimehifadhiwa kwa ajili ya shirika la habari la Hawza.

Kueneza yaliyomo katika shirika la habari la Hawza kwenye mashirika ya habari mengine inafaa pasi na kipingamizi.

sw.hawzahnews.com. All rights reserved

Nastooh Saba Newsroom