Hawzah/ Chanzo kimoja chenye taarifa ndani ya Syria kimefichua siri ya mkutano wa ngazi ya juu na wa kiusalama uliofanyika kwa usiri, ambao ulisababisha makubaliano ya kuwafundisha na kuwahamisha…
Hawzah/ Vikosi vya Hizbullah Iraq, vimeelezea kuwa ushindi wa kimkakati wa Vikosi vya Wanajeshi na watu huru wa Yemen katika mapambano ya kuwasafisha wavamizi katika maeneo ya pwani ya magharibi…
Hawzah/ Ayatullah Sayyid Yasin al-Mousawi, Imam wa Ijumaa wa Baghdad, amesema kuwa mpango wa Marekani na Uzayuni unalenga kuigawa tena kanda na kuyadhoofisha mataifa, huku akisisitiza umuhimu…