Jumamosi 5 Septemba 2026
  • Nyumbani
  • Habari zote
  • Hawza
  • Dunia
  • Dini
    • Hadithi
    • Kitabu na Makala
    • Sheria za Kiislamu
    • Maswali na Majibu
    • Maadili ya Kiislamu
  • Picha
  • Video
  • Kuhusu sisi
filterHabari za leo
  • Safari ya Naibu Mwenyekiti wa Baraza Kuu la Kishia la Lebanon Nchini Iraq na Kukutana na Viongozi wa Iraq

    DuniaSafari ya Naibu Mwenyekiti wa Baraza Kuu la Kishia la Lebanon Nchini Iraq na Kukutana na Viongozi wa Iraq

    Hawza/ Sheikh Ali Al-Khatib, Naibu Mwenyekiti wa Baraza Kuu la Kiislamu la Kishia, amekutana na Viongozi kadhaa wa Iraq ili kuwafahamisha kuhusu maendeleo ya hali nchini Lebanon.

    2026-09-05 10:27
  • Safari ya Kielimu ya Ayatullah Karbasi Kuelekea Amerika Kusini kwa Lengo la Kufanya Mazungumzo ya Kidini na Kuimarisha Mawasiliano na Wafuasi wa Ahlulbayt (as)

    DuniaSafari ya Kielimu ya Ayatullah Karbasi Kuelekea Amerika Kusini kwa Lengo la Kufanya Mazungumzo ya Kidini na Kuimarisha Mawasiliano na Wafuasi wa Ahlulbayt (as)

    Hawza/ Ayatullah Sheikh Muhammad Swa'diq Muhammad Karbasi, mwandishi wa “Ensaiklopidia ya Imam Hussein” na Mkuu wa “Kituo cha Tafiti za Imam Hussein” mjini London, amewasili katika nchi za Amerika…

    2026-09-05 09:26
  • Kuzingirwa Kiuchumi Kutapelekea Maadui Kushindwa

    Khatibu wa Swala ya Ijumaa Tehran:

    DuniaKuzingirwa Kiuchumi Kutapelekea Maadui Kushindwa

    Hawza/ Ayatullah Khatami amesema: Shinikizo la kiuchumi na kuzingirwa kiuchumi vinafuatwa kwa lengo la kujenga pengo kati ya wananchi na mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu na kudhoofisha kambi ya haki,…

    2026-09-05 08:25
  • Hoja 9 za Udhaifu na Kukosa Ustahimilivu kwa Marekani na Ubeberu Dhidi ya Mapinduzi ya Kiislamu / Kusimama Imara Taifa la Iran Kumeushangaza Ulimwengu Mzima

    Ayatullah Araafi Katika Swala ya Ijumaa ya Qom Amefafanua:

    DuniaHoja 9 za Udhaifu na Kukosa Ustahimilivu kwa Marekani na Ubeberu Dhidi ya Mapinduzi ya Kiislamu / Kusimama Imara Taifa la Iran Kumeushangaza Ulimwengu Mzima

    Hawza/ Khatibu wa Swala ya Ijumaa ya Qom amesema: Uwezo na nguvu ya taifa la Iran pamoja na uongozi wake katika kusimama imara dhidi ya ubeberu umeushangaza ulimwengu mzima. Wao hawakudhani kwamba…

    2026-09-05 07:24

Ufikaji wa haraka

  • Nyumbani
  • Habari zote
  • Hawza
  • Dunia
  • Dini
  • Picha
  • Video
  • Kuhusu sisi

Chagua lugha

  • Kiswahili
  • فارسی
  • English
  • العربیة
  • اردو
  • Français
  • हिन्दी
  • বাংলা
  • Türkçe
  • Русский
  • Español
  • Azərbaycan
  • Italiano
  • Hausa
  • indonesia
  • 中文

Mitandao ya kijamii

Haki zote za tovuti hii zimehifadhiwa kwa ajili ya shirika la habari la Hawza.

Kueneza yaliyomo katika shirika la habari la Hawza kwenye mashirika ya habari mengine inafaa pasi na kipingamizi.

sw.hawzahnews.com. All rights reserved

Nastooh Saba Newsroom