-
DuniaPicha / matembezi ya amani ya kumbukumbu ya kifo cha Mtume Muhammad (saw) yafanyika nchini Tanzania
Hawza/ Hawza ya Imaam Swadiq (as) chini ya usimamizi wa Samahat Sheikh Jalala iliandaa matembezi ya amani yaliyo husiana na kumbukumbu ya kifo cha Mtume Muhammad (saw) kwa ajili ya kuadhimisha…
-
DuniaHujjatul Asr Society Of Tanzania yaadhimisha Arubaini ya Imam Husein (as)
Hawza/ Taasisi ya Hujjatul Asr Society Of Tanzania iliyopo chini ya usimamisi wa Sayyid A'rif Naqawi imeadhimisha Arubaini ya Imam Husein (as) kwa mwaka huu wa 2025 sawa na 1446 Hijria
-
DuniaNaibu Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Maulamaa wa Kiislamu Pakistan: Kuiharibu Ghaza kamwe hakutaifanikisha ndoto ya kibabe ya kujenga minara
Hawza/ Maulavi Amjad Khan katika hotuba yake alisema: Kuiharibu Ghaza na kujenga minara mirefu kamwe hakutazaa matunda, na ushujaa na uimara wa watu wa eneo hili umezikwamisha njama zote za adui