-
Msomi wa Dini kutoka India:
DuniaKarbala ni ufunuo wa milele wa ukweli katika kioo cha fasihi na utu
Hawza/ Hujjat al-Islam Sayyid Abbas B'aqeri, katika hotuba yake, akiwa amesisitiza nafasi isiyoweza kulinganishwa ya Ashura katika dhamiri ya kibinadamu na historia ya fasihi, amesema kuwa Karbala…
-
Mkurugenzi wa Ofisi ya Ayatollah al-‘Uzma Hafidh Bashir Najafi:
DuniaKuhuisha alama za Husseini ni jukumu la kidini na njia ya kuelekea kwenye kujikurubisha na Mwenyezi Mungu
Hawza/ Hujjat al-Islam wal-Muslimin Sheikh Ali Najafi, katika hotuba yake huku akisisitiza upande wa islah (urekebishaji) wa harakati ya Imam Husayn (as), amekitambua kisimamo hicho kuwa ni mfano…
-
Raisi wa Baraza la Maulamaa wa Imamiyya Bangladesh:
DuniaNjama za kijinga za Uzayuni wa Kimataifa ni dalili ya udhaifu na kukata tamaa kwao
Hawza/ Raisi wa Baraza la Maulamaa wa Imamiyya Bangladesh amesema: Njama za kijinga za Uzayuni wa kimataifa si tu ni ishara ya udhaifu na kukata tamaa, bali pia ni dalili ya athari ya kina ya…