-
HawzaJe! Kwa nini Kiongozi wa Mapinduzi aliunganisha Hawza na Historia?
Kiongozi wa Mapinduzi katika ujumbe wake kutokana na mnasaba wa kutimia miaka mia moja tangu kuanzishwa upya kwa Hawza ya Qom, kwa kusisitiza nafasi kuu ya historia katika uelewa wa dini, alikumbushia…
-
DuniaUshirikiano wa Kimataifa kwenye Taasisi za Kiislamu ni jambo la ulazima kwa ajili ya Kuimarisha Uislamu na Maendeleo katika Jamii
Hawza/ Mkuu wa Taasisi ya Kielimu na Kitaaluma ya Bilal ya Tanzania amesisitiza juu ya nafasi muhimu ya ushirikiano wa kimataifa katika kusambaza ujumbe sahihi wa Uislamu, na kwa kubainisha shughuli…
-
"Kuielekea Jamii iliyo Bora": (Mfululizo wa utafiti kuhusiana na Imaam Mahdi (a.s)) - 13
HawzaUmri wa Imamu wa zama (a.s)
Hawza | Kwa mujibu wa itikadi ya wafuasi wa dini zote za mbinguni, vitu vyote ulimwenguni viko chini ya mamlaka ya Mwenyezi Mungu, na athari zitokanazo na vitu hivyo zinategemea matakwa Yake.…
-
DuniaWatalii kutoka Poland wahudhuria Haram ya Bibi Mtukufu mwenye Karama
Hawza/ Watalii 40 kutoka nchi ya Poland, wamehudhuria katika haram takatifu ya Bibi Fatima Maasuma Salamullahi ‘Alayha, kutokana na kuhudhuria kwao waliweza kuifahamu shakhsia na hadhi ya Bibi…