-
Ayatullah al-‘Udhma Jawadi Amuli:
DiniMtu akienda makaburini kisha akarejea bila ya kujifunza chochote, hiyo ni hasara
Hadhrat Ayatullah Jawadi amesema: Je! Mtu anaena makaburini kwa ajili ya kuwaombea maghfira (msamaha) wazazi wake, au kwa ajili na yeye mwenyewe kujifunza jambo fulani?
-
Hadithi ya leo:
DiniUsipuuze sauti ya wengine ya kuomba msaada
Mwenye kusikia sauti ya mwenye kuomba msaada na asiende kumsaidia, huyo sio Muislamu.
-
“Kuielekea Jamii Bora” (mfululizo wa utafiti kuhusu Imam Mahdi, amani iwe juu yake) - 4
HawzaSifa za Imam: «‘Iṣmah»
Iwapo Imām hatokuwa ni mwenye kuhifadhiwa dhidi ya makosa, basi itawapasa watu wamtafute Imām mwingine ili awajibu mahitaji yao. Na iwapo na huyo pia hatokuwa ni mwenye kuhifadhiwa dhidi ya makosa,…
-
Aayatullah al-‘Udhmaa Nūrī Hamedānī:
HawzaKuzitumikia Ahlul-Bayt (‘alayhimus-salām) ni nafasi ya hali ya juu na adhimu kabisa katika ulimwengu huu
Marja‘ taqlīd wa mashia, kwa kuashiria umuhimu wa kuwatumika Ahlul-Bayt (‘alayhimus-salām), amesema: Bila ya shaka yoyote, kuwatumikia Maasumiin (a.s), hasa kwa Hadhrat Sayyidush-Shuhadaa (‘a.s),…