Hawza/ Mji wa Den Bosch nchini Uholanzi ulikuwa eneo la hafla ya kugusa hisia kwa ajili ya kuwakumbuka watoto na waandishi wa habari wa Kipalestina waliopoteza maisha yao huko Ghaza; ambapo maelfu…
Hawza/ Waandishi wawili wa habari kutoka Uholanzi ambao walifanikiwa kupata Tuzo ya Vyombo vya Habari ya Ulaya kwa kuandaa kumbukumbu za majeraha mabaya yaliyowaua watoto wa Ghaza, wameutaka…