Suheil As'ad alisisitiza kuwa: Hawza, hasa Hawza ya Qum, ndio taasisi ya kidini duniani ambayo imeweza kuchukua nafasi muhimu katika mchakato wa kujenga ustaarabu mpya wa Kiislamu na kulea watu…