Hawza/ Ja'miat Mudarisin Qum, inatoa salamu za rambirambi kutokana na mnasaba wa kumbukumbu ya tukio la kuhuzunisha na la kusikitisha la uvunjiwaji heshima maeneo matukufu ya Maimamu watukufu…
Wafanyakazi wa shirika la Microsoft la Marekani wameandamana wakati wa tukio la sherehe ya miaka 50 ya kuanzisha kampuni hiyo, wakitangaza upinzani wao dhidi ya kutumiwa teknolojia ya Akili Mnemba…