Hawza / Rais wa Uturuki amekosoa vikali sera za Israel na kueleza kuwa mashambulizi ya utawala huo dhidi ya Ghaza, Lebanon na Syria ni tishio kwa eneo lote, amesisitiza kwamba; Ankara haitabaki…
Hawza/ Rais wa Uturuki, Rajab Tayyib Erdogan, katika hotuba yake baada ya Swala ya Idi ya Adh-ha ndani ya Msikiti Mkuu wa Çamlıca mjini Istanbul, huku akisisitiza umuhimu wa umoja wa ulimwengu…