Kwa kuanza kwa Marjaiyya ya Ayatollah Borujerdi, Hawza ya Qom ambayo mnamo mwaka 1326 Hijria Shamsiyya ilikuwa na takriban wanafunzi 2,000, iliingia kwenye mageuzi ya kimfumo. Mageuzi haya yaliambatan…
Hawza ya Qum ikiwa ni urithi wa zaidi ya miaka 1200, siyo tu mojawapo ya vituo vikuu vya uzalishaji na usambazaji wa elimu ya Kiislamu, bali pia kwa kulea wanafunzi wa kimataifa na kuwaunganisha,…
Khatibu wa Swala ya Ijumaa katika mji wa Qom (Iran) amesema: Uzalishaji ni msingi na mhimili wa uchumi salama, na akaongeza kwamba uchumi imara ni ule unao simamamia ushiriki wa wananchi, uchumi…