Hadhrat Ayatollah al-Udhma Jawadi Amoli amesema: Mtoa mawaidha ni yule mtu ambae amekomaa kiroho, mahiri, maneno yake yana mvuto unaowafanya watu wavutiwe naye.