Wafanyakazi wa shirika la Microsoft la Marekani wameandamana wakati wa tukio la sherehe ya miaka 50 ya kuanzisha kampuni hiyo, wakitangaza upinzani wao dhidi ya kutumiwa teknolojia ya Akili Mnemba…