Hadhrat Ayatullah al-‘Uẓmā Makarim Shirazi amejibu swali la kifiqhi kuhusu “hukumu ya mwanafunzi wa dini aliyevaa kilemba kumfuata mwanafunzi wa dini asiyevaa kilemba.”
Mwalimu wa Hawza ya Kiislamu ya Qom ameweka wazi kuwa: "leo hii ni jukumu la kisheria na kibinadamu kwa Waumini na Waislamu wote duniani kuisaidia Yemen ambayo inapigana Jihadi kwa ajili ya Mwenyezi…