Hawza/ Tovuti ya “Muungano wa Vijana wa Mapinduzi ya Februari 14” nchini Bahrain imeripoti kuwa; vikosi vya utawala wa Aal Khalifa alfajiri ya tareh 9 May 2026, vimefanya operesheni kubwa ya…
Hawza/ Hujjatul-Islam wal-Muslimin Sheikh Abdallah Al-Daqqaq amesema; vitisho vya Rais wa Marekani dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu na Kiongozi Mkuu wa Mapinduzi ni “ukiukaji wa kanuni za kimataifa…