Hawza/ Rami Abu Hamdan, mjumbe wa kambi ya “Uaminifu kwa Muqawama”, amelaani kauli chafu zilizotolewa na Bula Ya‘qubian, mbunge wa Bunge la Lebanon, ambazo ndani yake aliwatusi wanazuoni wa dini…