Hawza/ Mji wa Ghubairi uliopo katika mji wa Baabda nchini Lebanon uliadhimisha kumbukumbu ya shahada ya kamanda Shahidi Haj Qassim Suleimani kupitia hafla iliyofanyika karibu na mnara wa kumbukumbu…