Hujjatul-Islam wal-Muslimin Arif Hussein Waahidi, katika mkutano wa kila mwaka wa hija, alieleza kuwa: hija ni siri ya umoja wa waislamu wote ulimwenguni.