Hawza/ Mtafiti mwandamizi wa masuala ya Mashariki ya Kati katika ripoti ya kina, kwa kuchunguza vipengele vya kihistoria na vya uwanjani vya mabadiliko ya Palestina, alidai kuwa; ukatili wa kingono…
Hawza/ “Fatima al-Fihri” ni mwanamke ambaye kwa kutumia urithi wa baba yake alianzisha chuo kikuu cha kwanza duniani nchini Morocco; chuo ambacho kimekuwa kitovu cha kulea wanazuoni mashuhuri…
Hawza/ Juzuu ya nne ya Qur’ani Tukufu inajumuisha Surat Aal-Imran (kuanzia aya ya 93 hadi mwisho) na Sura An-Nisaa (aya ya 1–24). Surat An-Nisaa ina aya 176, imeteremshwa Madina, na inasisitiza…