Katika mfumo wa maisha, mwanadamu siku zote hutafuta nuru itakayomwonyesha njia sahihi na kumtenganisha na upotovu. Lakini je, nuru hii hupatikana tu katika taa ya dini? Au yawezekana kufikia…