Hawza/ Viongozi wa juu wa dini Irani, katika muendelezo wa uvamizi wa Israil kuivamia Jamhuri ya kiislamu ya Irani wamesema kuwa; kutishia kuwauwa viongozi wa kisiasa na kidini katika nchi yeyote…