Hawza/ Historia ni kioo kinachoakisi uwepo wa wanawake ambao nafsi zao zimesafishwa kwa nuru ya imani na maarifa ya Mwenyezi Mungu; wale ambao kwa baraka ya uhusiano huo wamehesabiwa kuwa ni…
Hawza / Kuhusu nafasi ya mwanamke katika jamii ya Kiislamu na utekelezaji wa malengo ya Mwenyezi Mungu, Qur’ani Tukufu imeorodhesha majukumu ya jumla kama vile kumcha Mwenyezi Mungu, kuamrisha…
Hawza/ Wanawake pia, kama ilivyo kwa wanaume katika jamii, wanapaswa kutumia juhudi zao zote katika kutekeleza nafasi zao kwa ajili ya kufanikisha malengo ya Mwenyezi Mungu, bila mchango wao,…