Hawza/ Kudhalilishwa kwa matakatifu ya Wakristo na askari wa Kizayuni nchini Lebanon; kuanzia kuvunja sanamu ya Nabii Isa (as) hadi kuweka sigara mdomoni mwa sanamu ya Bibi Maryam (as).
Hawza/ Ripoti zinaonesha kutokea kwa tukio jipya la mashambulizi ya kimfumo ya Waisraeli dhidi ya Wakristo, ambapo katika tukio hilo, mtawa mmoja alishambuliwa upande wa Quds ya Mashariki inayokaliwa…