Hawza/ Rais wa China na mwenzake wa Urusi katika taarifa ya pamoja kuhusu hali ya Mashariki ya Kati, wamelaani mashambulizi ya kijeshi ya Marekani na Israel dhidi ya Iran.
Hawza/ Jumuiya ya Mashia wa mji wa Makhachkala nchini Urusi ilitangaza kuwa: Tunaamini kwamba ushirikiano wa kimkakati kati ya Urusi na Iran unachangia kuimarisha usalama wa kikanda, uthabiti,…