Hawza/ Mkuu wa hawza ya nchini Iran, Ayatollah Alireza Arafi, huju akirejelea “mapambano makubwa ya ustaarabu” kati ya Mapinduzi ya Kiislamu na ustaarabu wa kisasa wa Magharibi, alisema: Wanazuoni…
Hawza/ Dkt. Muhammad Tahir-ul-Qadri, katika hotuba yake huku akisisitiza nafasi kubwa na yenye athari ya mitandao ya kijamii, amewataka vijana kwa kuzingatia maadili na kuwajibika, kuibadili…