Hawza/ Waandaaji wa hafla ya Swala ya Jamaa na Iftari walisema kuwa karibu milo 2000 ya bure imeandaliwa kwa ajili ya Waislamu kufuturu, na kila mwenye uhitaji anaweza kushiriki katika meza hii…