Hawza/ Ustadh Ali Akbar Rashad, akizungumzia kuondoka Marekani nchini Iraq baada ya takribani miaka 22, amesema kuwa; kuondoka huko kulitokana na muqawama, wala si mazungumzo, maridhiano au kulegeza…