Hawza/ Hujatul-Islam wal-Muslimin Muhsen Qara’ati amesema kuwa “taffaquh katika dini na uhubiri” ni majukumu mawili makuu ya wanafunzi na wanazuoni wa Hawzah, akisisitiza kwamba lengo la Hawza…