Hawza/ Umoja wa Vijana wa Uturuki (TGB) umekosoa vikali kufanyika kwa mkutano wa NATO mjini Ankara na umetangaza kuandaa maandamano makubwa ya kupinga mkutano huo tarehe 4 Julai, huku ukitaka…
Hawza/ Makundi ya kimataifa yanayotetea haki za binadamu yameanzisha kampeni mpya na kuyataka makumi ya nchi kuingilia kati kuhusu hali mbaya na kuzuiliwa maelfu ya Wapalestina wasio na hatia…
Hawza/ Umoja wa Kimataifa wa Wanazuoni wa Muqawama nchini Lebanon, umetangaza kuwa; unatoa hukumu kali na chuki kubwa dhidi ya uhalifu wa aibu uliotekelezwa na jeshi la utawala haram wa Israel…