Hawza/ Naibu Raisi wa Jumuiya ya walimu wa Hawza ya Qum, amefafanua kuwa: Kulilinda Taifa dhidi ya uvamizi wa adui Marekani na Utawala wa Kizayuni, ni wajibu kiakili, kisheria na kikanuni, na…