Hawza/ Mkurugenzi wa Hawza nchini Iran, huku akisisitiza ulazima wa kuinua hadhi ya Kalamu ya Kiislamu kufikia kiwango cha ijtihadi ya fiqhi na usul, ametoa wito wa kufanyiwa marekebisho upya…
Hawza/ Hujjatul-Islam wal-Muslimin Abbasi, akisisitiza uhai na uongozi wa hawza za kielimu katika uwanja wa utafiti, amesema kuwa: kila mwaka takribani makala 2,500 za kielimu zenye ithibati…