Hawza/ Hujjatul-Islam Sheikh Nouri, katika kongamano la kimataifa la “Shahidi Sayyid Hassan Nasrallah; Siri ya Muqawama na Umahiri wa Uongozi”, alisisitiza kuwa: kusimama imara kwa pande zote…