Hawza/ Katika kukaribia Arbaeen ya Imam Hussein, mabanda ya kampeni ya kimataifa ya kumtambulisha Imam Mahdi (af) yameanza shughuli zake nchini Iran na Iraq.