Katika Mkutano wa 32 wa Kitaifa wa Swala, Shirika la Habari la Hawza limechaguliwa kuwa mojawapo ya vyombo bora vya habari kutokana na mchango wake mkubwa na ubunifu katika kueneza elimu na utamaduni…
Hawza/ Ayatollah Bahjat amenukuu kutoka kwa Ayatollah Sayyid Abdulhadi Shirazi kwamba baada ya kufariki baba na mlezi wa familia, jukumu la maisha lilimwangukia yeye. Katika ndoto alimwona baba…