Hawza/ António Guterres, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, amelaani vikali shambulio la kigaidi la hivi karibuni lililosababisha umwagaji damu, shambulio ambalo liliulenga Msikiti wa Imamu Ali…