Hawza/ Wakati dunia kila siku inatangaza habari zinazohusiana na vita vya Marekani na Israel dhidi ya Iran pamoja na mashauriano ya kisiasa ya kikanda na kimataifa, katika kona nyingine ya dunia…
Hawza/ Hujjatul-Islam wal-Muslimin Sayyid Sajid Ali Naqvi katika ujumbe wake amesema: Zaidi ya miongo saba iliyopita, utawala haramu wa Israel ulipandikizwa kama kisu chenye sumu ndani ya moyo…