Hawza/ Mtukufu Ayatollah Jawadi Amoli amesisitiza kuwa; Mwenyezi Mungu anakosoa vikali mwenendo wa jamii ya wanafiki na ametoa amri ya “jihad maalum” dhidi yao.