Hawza/ Waumini wa dini ya Kiislamu nchini Kenya wameungana kwa mshikamano wa kipekee na Waislamu wenzao duniani kote kwa kushiriki katika maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Qudsi.