Hawza/ Sheikh Ra‘d al-Bahili, huku akirejea uungaji mkono wa wapenda uhuru duniani kwa upande wa haki, alisema: Leo si tu kwamba mhimili wa muqawama wa Kiislamu ndio unaounga mkono, bali watu…