Hawza/ Sheikh Mkuu wa Jumuiya ya Shia Tanzania (TIC), Maulana Sheikh Hemedi Jalala, ameshiriki katika zoezi la upandishaji wa Bendera ya Imam Mahdi (a.s), lililofanyika katika Shule ya Bilal…