Hawza/ Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Bahrain ametoa tamko kuhusu wajibu wa mataifa mbele ya tawala ambazo zimeichagua Marekani kuwa Mola wao, na kuwataka wananchi kusimama dhidi ya tawala…
Hawza/ Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Bahrain, katika taarifa yake amelaani maamuzi ya utawala wa Khalifa ambayo yanaweka vikwazo kwa baadhi ya sifa na taratibu za madhehebu ya Shia.
Hawza/ Ayatullah Sheikh Issa Qasim, kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Bahrain, amelaani sera za Marekani na Rais wake, “Donald Trump”, za kuilazimisha dunia kujisalimisha na kuwa mtiifu kikamilifu.
Hawza/ Kitendo cha Ayatullah Sheikh Isa Qassim kuvunja ukimya wake na kutangaza kuwa hatima ya madhehebu ya Shia nchini Bahrain inakabiliwa na tishio la kuwepo kwake, kina maana kwamba sehemu…